Kupitia kurasa za mitandao ya kijamii Ofisi ya Waziri Mkuu Mh.Kassim Majaliwa imetolewa taarifa yakuujuza umma kwamba Agosti 23,2022 itakuwa siku ya mapumziko.
“amesema Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania @SuluhuSamia ameridhia tarehe 23 Agosti 2022 iwe siku ya mapumziko ili Watanzania wawepo majumbani na waweze kuwapokea makarani wa sensa na kutoa maelezo sahihi”.
Ofisi ya Waziri Mkuu
@TZWaziriMkuu
ADVERTISEMENT