ADVERTISEMENT
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv
Tuesday, May 30, 2023
  • Login
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
No Result
View All Result

RAIS SAMIA ATOA POLE AJALI ILIYOUA WATU 19 MBEYA

Shabani Rapwi by Shabani Rapwi
Aug 17, 2022
in HABARI
0
RAIS SAMIA ATUMA SALAMU ZA RAMBIRAMBI AJALI YA GARI YA WANAFUNZI MTWARA
0
SHARES
130
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter

 

RelatedPosts

POCHETTINO AANZA NA JOAO FELIX AREJEE ATLETICO

POCHETTINO AANZA NA JOAO FELIX AREJEE ATLETICO

May 30, 2023

DIASPORA KUPEWA HADHI YA KIPEKEE

May 30, 2023

MAPACHA WALIOFARIKI ZIWANI WAKIOGELEA KUZIKWA MARA

May 30, 2023
Load More

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan ametuma salamu za rambirambi kwa Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Mhe. Juma Homera kufuatia vifo vya watu 19 vilivyotokea katika ajali ya gari.

 

 

–

 

 

Ajali hiyo imetokea leo saa mbili asubuhi katika eneo la Shamwengo kata ya Inyala tarafa ya Tembela Wilaya ya Mbeya Vijijini mkoani Mbeya.

ADVERTISEMENT

 

 

–

 

Kwa mujibu wa Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya SACP Ulrich Matei, waliopoteza maisha ni watu 19 (wanawake 6, wanaume 12 na mtoto 1) na majeruhi ni 25.

 

 

–

 

SACP Matei amesema ajali hiyo imehusisha lori lililokuwa likitoka Mbeya kwenda Dar es Salaam, lenye namba za usajili T387 DSJ na tela namba T 918 DFE mali ya Kampuni ya Everest French Limited.

 

 

–

ADVERTISEMENT

 

Lori hilo iliyokuwa imebeba kontena la mchanga ililigonga kwa nyuma basi la abiria
la Kampuni ya Super Rojas iliyokuwa ikitoka Mbeya kwenda Njombe.

 

 

–

 

Aidha, basi hilo nalo lililigonga kwa nyuma gari ndogo aina ya Benz yenye namba ya usajili T 836 DRE ambalo nalo liligonga Lori lililokuwa limebeba kontena lenye namba ya usajili T342 CHG na tela namba CGS kwa nyuma.

 

 

–

 

Rais Samia amewapa pole majeruhi wa ajali hiyo pamoja na wafiwa wote pia anaungana na familia hizo katika kipindi hiki kigumu cha majonzi. Mwenyezi Mungu azilaze roho za marehemu wote mahali pema Peponi. Amina

Related

ADVERTISEMENT
Shabani Rapwi

Shabani Rapwi

Related Posts

POCHETTINO AANZA NA JOAO FELIX AREJEE ATLETICO
HABARI

POCHETTINO AANZA NA JOAO FELIX AREJEE ATLETICO

by ALFRED MTEWELE
May 30, 2023
DIASPORA KUPEWA HADHI YA KIPEKEE
HABARI

DIASPORA KUPEWA HADHI YA KIPEKEE

by ALFRED MTEWELE
May 30, 2023
MAPACHA WALIOFARIKI ZIWANI WAKIOGELEA KUZIKWA MARA
HABARI

MAPACHA WALIOFARIKI ZIWANI WAKIOGELEA KUZIKWA MARA

by ALFRED MTEWELE
May 30, 2023
Legal Manager / Company Secretary Job Vacancy at BRAC Tanzania Finance LTD
HABARI

Legal Manager / Company Secretary Job Vacancy at BRAC Tanzania Finance LTD

by ALFRED MTEWELE
May 30, 2023
5 Various Job Vacancies at Tanzania Agricultural Development Bank (TADB)
HABARI

5 Various Job Vacancies at Tanzania Agricultural Development Bank (TADB)

by ALFRED MTEWELE
May 30, 2023
Digital Channels Manager Job Vacancy at Airtel Tanzania PLC
HABARI

Digital Channels Manager Job Vacancy at Airtel Tanzania PLC

by ALFRED MTEWELE
May 30, 2023

KRANTZ MWANTEPELE (FOUNDER & CEO)

KONCEPT TV

https://www.youtube.com/watch?v=0HP0mB_rtIU&t=7s
KONCEPT TV

KONCEPT TWEETS

ADVERTISEMENT
August 2022
M T W T F S S
1234567
891011121314
15161718192021
22232425262728
293031  
« Jul   Sep »
Currently Playing
  • About
  • Advertise
  • Privacy & Policy
  • Contact

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

Welcome Back!

Login to your account below

Forgotten Password?

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In