Rais wa zamani wa Muungano wa Soviet, Mikhail Gorbachev, amefariki Dunia akiwa na miaka 91 kwa kwa mujibu wa vyombo vya habari vya Urusi.
–
Gorbachev ambaye alikuwa akiugua kwa muda mrefu alikuwa akitibiwa katika Hospitali Kuu ya Kliniki huko Moscow kabla ya umauti kumkuta.
ADVERTISEMENT
–
ADVERTISEMENT
Gorbachev atazikwa katika makaburi ya la Novodevichy jijini Moscow pembeni ya mkewe Raisa aliyefariki mnamo 1999.