Kupitia kongamano la Jumuiya ya Maendeleo ya Kusini mwa Afrika SADC lililopewa nafasi ya kufanyika katika Jamuhuri ya kidemokrasia ya Congo Agosti 17, 2022, SADC imetaja washindi 3 kati ya wale wlioshiriki mashindano ya uandishi wa Insha yalioandaliwa na SADC 2022 na washindi wapo kama ifuatavyo; Nafasi ya kwanza ni Thato Molongoana kutokea Kingdom of Lesoto ambaye amejishindia US$1500 , nafasi ya pili ni Butcha Tikshta kutokea Republic of Mauritius ambaye amejishindia US$1000, na mshindi wa tatu ni Riddi Moneeram nae anatokea Mauritius ambaye amejishindia US$750