ADVERTISEMENT
Klabu ya Simba SC inatarajia kucheza mechi ya kirafiki na timu iliochukua ubingwa wa Ligi kuu nchini Ethiopia St. George SC katika Tamasha la Simba Day litalofanyika Jumatatu ya Agosti 8, 2022 Uwanja wa Benjamin Mkapa, Jijini Dar es Salaam.
ADVERTISEMENT