
Klabu ya Simba SC yaendelea na mazoezi ya kujinoa makali yake kuelekea mchezo ya Ngao ya Jamii utakaochezwa Agosti 13 dhidi ya wahasimu katika michezo Young Africans SC ambao ni mabingwa wateteazi wa Kombe Makombe mawili ya msimu 2021/2022 Kombe la Ligi kuu la NBC na la Shirikisho la AZAM SPORTS vikiambatana na Ngao ya Jamii pia waliichukukua pia.


