ADVERTISEMENT
Klabu ya Simba SC yaanza rejesha matumaini kwa mashabiki wao kwa kuanza mchezo wa kwanza katika michuano ya kuwania ubingwa wa kombe la Ligi Kuu ya NBC Tanzania Barana na kupata matokeo mazuri kwa kuifunga klabu ya Geita Gold FC 3-0 katika mchezo uliochezwa jana usiku Agosti 17, 2022 katika dimba la Benjamini Mkapa.
ADVERTISEMENT