Kupitia Tamasha maalumu la Simba Day, Klabu ya Simba SC imeweza kumuaga rasmi na kwa heshima aliyekuwa mchezaji wake mahiri Medie Kagere (MK 14) aliyeitumikia klabu hio kwa miaka takribani 5 na kuisaidia kushinda mataji 4 ya ubingwa wa Ligi Kuu Tanzania, kuweza shiriki mechi za kimataifa na kushiriki michuano ya klabu bingwa Afrika kabla. Msimu wa 2022/2023 atakuwa anaitumikia klabu yake mpya aliyejiunga nae msimu huu ifahamikayo kama Singida Big Stars, huko anakutana na Nguri wengine wa soka kama Hamis Tambe na Serge Pascal Wawa.
ADVERTISEMENT
ADVERTISEMENT