Klabu ya Singida Big Stars FC iliyofahamika hapo awali kama DTB FC hii leo Agosti 4 kupitia tamasha lao maalumu la SINGIDA BIG DAY wataitumia kutaja mabadiliko ndani ya menejimenti yao na kutambulisha wchezaji wapya waliojiunga na klabu hio, ikiwa tamasha litanogeshwa na mchuano mkali dhidi ya ZANAKO FC kutokea nchini Zambia