Wachezaji wa Timu ya Taifa @taifastars_ wakiendelea na mazoezi uwanja wa Benjamin Mkapa kujiandaa na mchezo wa Kufuzu CHAN dhidi ya Uganda utakaochezwa 28, Agosti 2022.
@taifastars_ @serengetilager_tz @azamtvsports @caf_online



All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.