ADVERTISEMENT
Kampuni za Mawasiliano Tigo na Zantel zashirikiana kwa pamoja kuleta Tigo Zantel International Marathon iliyozinduliwa jijini Dar es salaam zitakazofanyika tarehe 7 Agosti 2022.
Uzinduzi jijini Dar es salaam umefanyika na Kaimu Mkurugenzi wa Tigo Kanda ya Pwani Bw Robert Kasulwa pamoja na wadau na washirika mbalimbali.
ADVERTISEMENT