ADVERTISEMENT
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv
Saturday, August 13, 2022
  • Login
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
ADVERTISEMENT
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
No Result
View All Result
ADVERTISEMENT

UZINDUZI WA RIPOTI YA MIPANGO ENDELEVU YA KAMPUNI YA WENTWORTH GAS LTD

I am Krantz by I am Krantz
Aug 4, 2022
in BIASHARA, HABARI
0
UZINDUZI WA RIPOTI YA MIPANGO ENDELEVU YA KAMPUNI YA WENTWORTH GAS LTD
0
SHARES
18
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter
ADVERTISEMENT
Afisa Mtendaji mkuu wa Wentworth Resources PLC, Katherine Roe akizungumza na waandishi wa habari kwenye uzinduzi wa ripoti ya Mipango Endelevu “Sustainability Report 2021” ya kampuni hiyo iliyoelekeza mipango mkakati ya mazingira, kijamii na utawala. Wengine kwenye picha ni Mkurugenzi mkazi Wentworth Gas Ltd, Richard Tainton, Mjumbe wa Bodi ya Wentworth Resources PLC, Juliet Kairuki na Rais wa Wentworth Tanzania, Bob McBean. Ripoti hiyo ilizinduliwa ukumbi wa JNICC jijini Dar es Salaam na ilienda sambamba na kongamano la Nishati Tanzania
Mkurugenzi mkazi Wentworth Gas Ltd, Richard Tainton akizungumza na waandishi wa habari kwenye uzinduzi wa ripoti ya Mipango Endelevu “Sustainability Report 2021” ya kampuni hiyo iliyoelekeza mipango mkakati ya mazingira, kijamii na utawala.
Rais wa Wentworth Tanzania, Bob McBean akizungumza na waandishi wa habari kwenye uzinduzi wa ripoti ya Mipango Endelevu “Sustainability Report 2021” ya kampuni hiyo iliyoelekeza mipango mkakati ya mazingira, kijamii na utawala.

 

Afisa Mtendaji mkuu wa Wentworth Resources PLC, Katherine Roe akiwa kwenye mjadala (Panel discussion) wakati wa kongamano la Nishati Tanzania lililofanyika ukumbi wa JNICC jijini Dar es Salaam.

 

RelatedPosts

Mkazi wa Mufindi -Iringa akabidhiwa gari mpya Suzuki S Presso baada ya kuibuka mshindi promosheni ya Vodacom Tusua Mapene

Mkazi wa Mufindi -Iringa akabidhiwa gari mpya Suzuki S Presso baada ya kuibuka mshindi promosheni ya Vodacom Tusua Mapene

Aug 13, 2022

Rais Samia Akiwa katika Ziara yake Mkoani Iringa 2022

Aug 12, 2022

BIL.11 kupelekwa Mafinga kuboresha miundombinu ya Mji

Aug 12, 2022
Load More

 

4 Agosti 2022, Dar es Salaam. Kampuni ya Wentworth Gas Ltd leo imezindua Ripoti yake ya Mipango Endelevu ya mwaka 2021. Ripoti hii inachagiza Ripoti Kuu ya Mwaka 2021 ya Wentworth Resources Plc., ikitoa maelezo zaidi kuhusu utendaji kuhusiana na masuala muhimu ya mazingira, kijamii, na utawala (Enviromental, Social and Governance – ESG) wa mwaka mzima.

Ripoti hii inafuata muundo uliyowekwa na Bodi ya Usimamizi ya Viwango vya Mipango Endelevu (Sustainability Accounting Standards Board – SASB) na kuthibitishwa na mshauri wa kujitegemea aitwaye GHD Services Incorporated.

ADVERTISEMENT

Ripoti hii  inaelezea mtazamo wa Wentworth wa uendelevu kupitia mkakati wa uendelevu unaowiana na Malengo ya Maendeleo Endelevu (Sustainable Development Goals -SDGs) ya Kimataifa unaozingatia nguzo 5 za kimkakati, ambazo ni:

  • Kusaidia mpito wa nishati unaowajibika;
  • Kuwezesha mabadiliko ya nishati;
  • Kujenga nguvu kazi mbalimbali na za kijumuishi;
  • Kuendeleza ukuaji kupitia ushirikiano; na
  • Utawala dhabiti wa mazingira, kijamii, na utawala.

Kwa kusambaza gesi asilia, yenye kiwango cha chini cha kaboni nchini kwa ajili ya uzalishaji wa umeme na matumizi ya viwandani, Wentworth inachangia mageuzi ya nishati ya Tanzania kwa kuwezesha umeme wa bei nafuu Tanzania; na pamoja na uwekezaji katika miradi ya elimu, afya na maendeleo ya kitamaduni, Kampuni inatoa mabadiliko chanya katika jamii.

Wentworth inaendelea kupunguza uzalishaji wake kaboni, baada ya kupata mojawapo ya viwango vya chini vya kaboni kwa mlingano wa kila pipa la mafuta (Barrel of Oil Equivalent – BOE) katika sekta mafuta na gesi ukilinganisha na makampuni yenye ukubwa kama wetu yaliyoorodheshwa kwenye soko dogo la hisa la London (AIM-listed). Aidha, Wentworth imetangaza ushirikiano wa makubaliano kupitia ubia wa muda mrefu na kampuni ya Vitol, ili kuendeleza miradi inayolenga jamii ambayo inatoa manufaa yanayolingana na Malengo ya Maendeleo Endelevu kwa jamii ndani ya Tanzania.

Wentworth ni kampuni inayojitegemea iliyoorodheshwa nakatika soko dogo la hisa la London (AIM-listed) na mshirika katika washirika wa Mnazi Bay pamoja na TPDC, Maurel & Prom.

Maelezo zaidi ya ripoti hii yanapatikana katika ripoti yetu ya Mipango Endelevu ya mwaka 2021.

Mkurugenzi Mtendaji wa Wentworth Resources PLC, kampuni mama ya Wentwoth Gas Limited, Katherine Roe alisema kupitia historia yetu mahiri, mtindo thabiti wa biashara na ufanisi mkubwa wa kifedha Wentworth inazalisha gesi ili kuivusha Tanzania katika uchumi wa kesho.

“Ninafuraha kuthibitisha kwamba Wentworth Resources PLC inaunga mkono Kanuni Kumi za Umoja Mkataba wa Kimataifa (United Nations Global Compact) kuhusu haki za binadamu, kazi, mazingira, na kupambana na rushwa. Tumejitolea kuzifuata kanuni hizi za Umoja wa Mataifa na kuwa sehemu ya mkakati, utamaduni na shughuli za kila siku za kampuni yetu, na kushiriki katika miradi shirikishi inayoendeleza malengo mapana ya maendeleo ya Umoja wa Mataifa, hasa Malengo ya Maendeleo Endelevu. Pia tunashirikiana na serikali ya Tanzania kuunga mkono agenda yake ya maendeleo ya taifa katika nishati na mazingira. Na kwa kufanya hivyo, tunaboresha maisha ya watu” – Mkurugenzi Mtendaji, Wentworth Resources PLC, Katherine Roe.

ADVERTISEMENT

Kwa maelezo  zaidi, tafadhali wasiliana na:

Frank Morandi, Simu: +255783 211 123 au Barua pepe: frank.morandi@wenplc.co.tz

Related

ADVERTISEMENT
I am Krantz

I am Krantz

👉 FOUNDER & CEO of KONCEPT 👉Serial & Self-made Entrepreneur 👉Digital media consultant 👉Pr & media Guru/Awards winner Blogger 👉Startuper of the year 2016 by TOTAL 👉TOP 50 Most influential young Tanzania 2017 👉General Secretary at Tanzania Bloggers Network 👉 UPG Sustainability Leader in the Class of 2021 👉 ALUMNI The Tony Elumelu Foundation 👉Chairman YOUNG CEO CLUB Tanzania 🇹🇿 ‘ 😊 Marketer BY Education, Entrepreneur BY Profession & Blogger BY Passion ”😊

Related Posts

Mkazi wa Mufindi -Iringa akabidhiwa gari mpya Suzuki S Presso baada ya kuibuka mshindi promosheni ya Vodacom Tusua Mapene
BIASHARA

Mkazi wa Mufindi -Iringa akabidhiwa gari mpya Suzuki S Presso baada ya kuibuka mshindi promosheni ya Vodacom Tusua Mapene

by I am Krantz
Aug 13, 2022
Rais Samia Akiwa katika Ziara yake Mkoani Iringa 2022
HABARI

Rais Samia Akiwa katika Ziara yake Mkoani Iringa 2022

by ALFRED MTEWELE
Aug 12, 2022
BIL.11 kupelekwa Mafinga kuboresha miundombinu ya Mji
HABARI

BIL.11 kupelekwa Mafinga kuboresha miundombinu ya Mji

by ALFRED MTEWELE
Aug 12, 2022
Dkt. Mpango Aitaka NEMC na STAMICO Kufanya Tathimini Migodini
HABARI

Dkt. Mpango Aitaka NEMC na STAMICO Kufanya Tathimini Migodini

by ALFRED MTEWELE
Aug 12, 2022
STAMICO YAADHIMISHA MIAKA 50 TANGU IANZISHE
BIASHARA

STAMICO YAADHIMISHA MIAKA 50 TANGU IANZISHE

by ALFRED MTEWELE
Aug 12, 2022
Benki ya NMB yang’ara maonyesho ya Nanenane Mkoani Mbeya.
BIASHARA

Benki ya NMB yang’ara maonyesho ya Nanenane Mkoani Mbeya.

by I am Krantz
Aug 12, 2022

KRANTZ MWANTEPELE (FOUNDER & CEO)

KONCEPT TV

https://www.youtube.com/watch?v=0HP0mB_rtIU&t=7s
KONCEPT TV

KONCEPT TWEETS

ADVERTISEMENT
August 2022
M T W T F S S
1234567
891011121314
15161718192021
22232425262728
293031  
« Jul    
Currently Playing
  • About
  • Advertise
  • Privacy & Policy
  • Contact

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

Welcome Back!

Login to your account below

Forgotten Password?

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In