ADVERTISEMENT
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv
Tuesday, September 26, 2023
  • Login
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
No Result
View All Result

Vodacom yakabidhi zawadi za awamu ya sita promosheni ya M-Pesa Imeitika jijini Dar es salaam

I am Krantz by I am Krantz
Aug 31, 2022
in BIASHARA, HABARI
0
Vodacom yakabidhi zawadi za awamu ya sita promosheni ya M-Pesa Imeitika jijini Dar es salaam
0
SHARES
206
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter

Kampuni ya teknolojia na mawasiliano ya Vodacom Tanzania Plc, imekabidhi zawadi kadhaa kwa washindi wa awamu ya sita ya M-Pesa Imeitika. Akizungumza kwenye hafla ya makabidhiano hayo, Mkuu wa Mauzo Vodacom kanda ya Dar es Salaam na Pwani, Brigita Shirima, amesema nina furaha kubwa sana kuwa nanyi leo hapa Viwanja vya Barafu, Mburahati, tunapokabidhi zawadi kwa washindi wetu wa awamu ya sita wa kampeni ya “M-Pesa Imeitika”. Kampeni hii ni muendelezo wa juhudi zetu za kuipeleka Tanzania katika Ulimwengu wa kidijitali hususan katika sekta ya kifedha. Kampeni hii ni muendelezo wa juhudi za vodacom za kuipeleka Tanzania katika Ulimwengu wa kidijitali hususani katika sekta ya kifedha. Shirima amefafanua kuwa kampeni hiyo inahusisha zawadi kama pikipiki, bajaji, mafuta kwa wamiliki wa magari pamoja na zawadi kubwa ya nyumba; na kwamba inaendana kabisa na malengo ya serikali ya kuhakikisha Tanzania inaingia katika ulimwengu wa kidijitali Aliendelea kusema, “Hii imekuja ikiwa ni juhudi zetu za kuwarudishia tabasamu wateja wetu wapendwa, haswa baada ya serikali kupunguza tozo za miamala ya simu, sisi kama kampuni inayopigania kuipeleka Tanzania katika ulimwengu wa kidijitali tumeona ni vema tukawapa Watanzania kitu kidogo cha kujivunia kwa vile pia hii inaendana kabisa na malengo ya serikali ya kuhakikisha kwamba Tanzania inaingia katika ulimwengu wa kidijitali”.

 

RelatedPosts

ESWATINI KUFANYA UCHAGUZI WA WABUNGE

ESWATINI KUFANYA UCHAGUZI WA WABUNGE

Sep 26, 2023

MKUU WA WILAYA YA KINONDONI, MH. SAADI MTAMBULE AZINDUA KITUO CHA MFUMO WA M-MAMA JIJINI DAR ES SALAAM.

Sep 26, 2023

WAPATA UMEME KWA MARA YA KWANZA TANGU NCHI IPATE UHURU

Sep 26, 2023
Load More

Katika kutoa huduma anuwai, moja ya faida ambayo tumeiona kwa watumiaji, ni kupungua kwa uhitaji wa kutumia pesa taslimu katika miamala yao ya kila siku. Si lazima tena mtu kuwa na pesa mkononi kwa kila jambo. Hii haiongezi tu kasi ya kukamilisha miamala, bali pia huongeza usalama binafsi kwa mtumiaji na kutoa fursa ya usimamizi bora wa fedha za mteja.

Vodacom imedhamiria kuboresha hali ya maisha na uchumi wa Watanzania wote. Kupitia kampeni hii, tunalenga kuongoza njia kwenye ulimwengu wa huduma za kifedha kidijitali na kufikia mfumo wa M-Pesa kuwa ni sehemu ya maisha ya kila siku kwa wateja wetu. Kwa sasa huna sababu ya kubeba pesa taslimu, kwa vile kila utakacholipia au kutuma pesa kutoka M-Pesa basi unajiongezea nafasi ya kushinda, lakini pia unajiepusha na hatari zinazoambatana na kubeba pesa taslimu.

 

Mkuu wa Mauzo wa kanda ya Dar es salaam na Pwani Vodacom Tanzania PLC, Brigita Shirima (kulia) akimkabidhi funguo mshindi wa Bajaj wa promosheni ya M-Pesa Imeitika kutoka Kimara jijini Dar es Salaam, Magdalena Magoma Moke wakati wa hafla ya kukabidhi Bajaj moja na Bodaboda tano kwa washindi wa awamu ya sita iliyofanyika viwanja vya Barafu Mburahati jijini humo.
Mkuu wa Mauzo wa kanda ya Dar es salaam na Pwani Vodacom Tanzania PLC, Brigita Shirima (wapili kulia) akiwa kwenye picha ya pamoja na washindi wa Bodaboda wa promosheni ya awamu ya sita ya M-Pesa Imeitika jijini Dar es salaam

Niwapongeze washindi hawa wote wa leo kutoka katika ukanda wetu, nikiamini kabisa kwamba zawadi hizi sio tu zitawasaidia kwenye usafiri lakini pia itakuwa ni chanzo cha kuwaingizia fedha na pia ni ajira kwa watu walio karibu nao. Alimaliza kusema Shirima. x

Related

I am Krantz

I am Krantz

👉 FOUNDER & CEO of KONCEPT 👉Serial & Self-made Entrepreneur 👉Digital media consultant 👉Pr & media Guru/Awards winner Blogger 👉Startuper of the year 2016 by TOTAL 👉TOP 50 Most influential young Tanzania 2017 👉General Secretary at Tanzania Bloggers Network 👉 UPG Sustainability Leader in the Class of 2021 👉 ALUMNI The Tony Elumelu Foundation 👉Chairman YOUNG CEO CLUB Tanzania 🇹🇿 ‘ 😊 Marketer BY Education, Entrepreneur BY Profession & Blogger BY Passion ”😊

Related Posts

ESWATINI KUFANYA UCHAGUZI WA WABUNGE
HABARI

ESWATINI KUFANYA UCHAGUZI WA WABUNGE

by SUZO SHUKRANI
Sep 26, 2023
MKUU WA WILAYA YA KINONDONI, MH. SAADI MTAMBULE AZINDUA KITUO CHA MFUMO WA M-MAMA JIJINI DAR ES SALAAM.
HABARI

MKUU WA WILAYA YA KINONDONI, MH. SAADI MTAMBULE AZINDUA KITUO CHA MFUMO WA M-MAMA JIJINI DAR ES SALAAM.

by I am Krantz
Sep 26, 2023
WAPATA UMEME KWA MARA YA KWANZA TANGU NCHI IPATE UHURU
HABARI

WAPATA UMEME KWA MARA YA KWANZA TANGU NCHI IPATE UHURU

by SUZO SHUKRANI
Sep 26, 2023
WAZIRI AWESO HATUWEZI KUFANYA KAZI PEKE YETU
HABARI

WAZIRI AWESO HATUWEZI KUFANYA KAZI PEKE YETU

by SUZO SHUKRANI
Sep 26, 2023
TAMISEMI YATOLEA UFAFANUZI SAKATA LA DADA WA KAZI KUKOSA MASOMO
HABARI

TAMISEMI YATOLEA UFAFANUZI SAKATA LA DADA WA KAZI KUKOSA MASOMO

by SUZO SHUKRANI
Sep 26, 2023
HALMASHAURI NCHINI KUZINGATIA UTOAJI LISHE MASHULENI
HABARI

HALMASHAURI NCHINI KUZINGATIA UTOAJI LISHE MASHULENI

by SUZO SHUKRANI
Sep 26, 2023

KRANTZ MWANTEPELE (FOUNDER & CEO)

KONCEPT TV

https://www.youtube.com/watch?v=0HP0mB_rtIU&t=7s
KONCEPT TV

KONCEPT TWEETS

August 2022
M T W T F S S
1234567
891011121314
15161718192021
22232425262728
293031  
« Jul   Sep »
Currently Playing
  • About
  • Advertise
  • Privacy & Policy
  • Contact

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

Welcome Back!

Login to your account below

Forgotten Password?

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In