ADVERTISEMENT
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv
Saturday, June 10, 2023
  • Login
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
No Result
View All Result

WASHINDI WA JAZA KIBUBU TUSEPE  QATAR WAPATIKANA

I am Krantz by I am Krantz
Aug 19, 2022
in HABARI
0
WASHINDI WA JAZA KIBUBU TUSEPE  QATAR WAPATIKANA
0
SHARES
118
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter

Mkuu wa Bidhaa na Mauzo wa Benki ya NBC  Bw.Abel Kaseko  (katikati) Akizungumza na waandishi wa  habari wakati wa kutangaza washindi wa kampeni ya  “JAZA KIBUBU TUSEPE  QATAR” mapema wiki hii  . Pembeni yake kulia Mwakilishi kutoka Bodi ya Michezo ya Bahati Nasibu, Bw.Elibariki SengaSenga  kushoto ni  Meneja Masoko  wa Nbc Alina Kimaryo na mwishoni ni  Mkuu wa kitengo cha Uhusiano Bw.Godwin Semunyu .Hafla ya hii ilifanyika makao makuu ya Benki ya NBC jjini Dar es salaam .

RelatedPosts

RAIS SAMIA ATUMA SALAMU ZA POLE KWA FAMILIA YA MMILIKI WA PRECISION AIR

RAIS SAMIA ATUMA SALAMU ZA POLE KWA FAMILIA YA MMILIKI WA PRECISION AIR

Jun 10, 2023

BREAKING; MMILIKI WA PRECISION AIR AFARIKI DUNIA

Jun 10, 2023

AHMED ALLY- “SAIDOO NDO MFUNGAJI BORA MSIMU HUU”

Jun 10, 2023
Load More

 

Benki ya NBC yatangaza washindi wa “JAZA KIBUBU TUSEPE  QATAR” siku ya Jumatano, Agosti 17, 2022. Ambapo kampeni hiyo ilianza Aprili mpaka mwezi wa September mwaka huu ikiwa na lengo la kutafuta washindi watakao hudhuria mechi za Kombe la Dunia linalotarajiwa kuanza mwezi Novemba mwaka huu, nchini Qatar.

ADVERTISEMENT

Mkuu wa bidhaa na Mauzo wa Benki ya NBC , Bwn.Abel Kaseko, akizungumza katika droo iliyofanyika kutafuta washindi wa shindano hilo, alisema walipanga kutafuta washindi hao mwezi wa tisa,lakini  kutokana na sababu zilizo nje ya uwezo wao ambazo wamepewa na FIFA, imewabidi watafute washindi kabla ya tarehe 20 Agosti, 2022.

“Washindi watakuwa ni wanne na Benki ya NBC itagharamia usafiri wa kutoka hapa kwenda Qatar, malazi na gharama zote zitakazohusika katika safari yote huko Qatar” Alisema.

Akiwataja washindi hao, ambao ni Bw. Abdallah  Tangarisi (Singida), Victor George Mwaifunga (Dar es salaam), Konolia Leonard Hinju( Songea) na Mpoki Wamakimbika(Mbeya).Aliongeza kuwa, Washindi hawa wanatarajiwa kuondoka nchini mwezi Novemba mwaka huu, kuelekea nchini Qatar.

Mwisho.

ADVERTISEMENT

Related

ADVERTISEMENT
I am Krantz

I am Krantz

👉 FOUNDER & CEO of KONCEPT 👉Serial & Self-made Entrepreneur 👉Digital media consultant 👉Pr & media Guru/Awards winner Blogger 👉Startuper of the year 2016 by TOTAL 👉TOP 50 Most influential young Tanzania 2017 👉General Secretary at Tanzania Bloggers Network 👉 UPG Sustainability Leader in the Class of 2021 👉 ALUMNI The Tony Elumelu Foundation 👉Chairman YOUNG CEO CLUB Tanzania 🇹🇿 ‘ 😊 Marketer BY Education, Entrepreneur BY Profession & Blogger BY Passion ”😊

Related Posts

RAIS SAMIA ATUMA SALAMU ZA POLE KWA FAMILIA YA MMILIKI WA PRECISION AIR
HABARI

RAIS SAMIA ATUMA SALAMU ZA POLE KWA FAMILIA YA MMILIKI WA PRECISION AIR

by ALFRED MTEWELE
Jun 10, 2023
BREAKING; MMILIKI WA PRECISION AIR AFARIKI DUNIA
HABARI

BREAKING; MMILIKI WA PRECISION AIR AFARIKI DUNIA

by ALFRED MTEWELE
Jun 10, 2023
YALIYOJIRI KWENYE MAGAZETI YA LEO JUNI 10, 2023
HABARI

YALIYOJIRI KWENYE MAGAZETI YA LEO JUNI 10, 2023

by ALFRED MTEWELE
Jun 10, 2023
Benki ya NBC yakabidhi kombe la ubingwa wa ligi kuu kwa Yanga
HABARI

Benki ya NBC yakabidhi kombe la ubingwa wa ligi kuu kwa Yanga

by I am Krantz
Jun 10, 2023
Relationship Manager; Mass Affluent (Acquisition) Job Vacancy at NMB Bank PLC
HABARI

Relationship Manager; Mass Affluent (Acquisition) Job Vacancy at NMB Bank PLC

by ALFRED MTEWELE
Jun 9, 2023
Application Support Specialist Job Vacancy at NBC
HABARI

Application Support Specialist Job Vacancy at NBC

by ALFRED MTEWELE
Jun 9, 2023

KRANTZ MWANTEPELE (FOUNDER & CEO)

KONCEPT TV

https://www.youtube.com/watch?v=0HP0mB_rtIU&t=7s
KONCEPT TV

KONCEPT TWEETS

ADVERTISEMENT
August 2022
M T W T F S S
1234567
891011121314
15161718192021
22232425262728
293031  
« Jul   Sep »
Currently Playing
  • About
  • Advertise
  • Privacy & Policy
  • Contact

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

Welcome Back!

Login to your account below

Forgotten Password?

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In