
Waziri mkuu wa jamhuri ya muungano wa Tanzania Mh. Kassim Majaliwa amehuzuria eneo la maonyesho ya Nanenane 2022 na kuzindua programu ya Vijana inayoitwa “Building A Better Tomorrow” inayolenga kumjengea uwezo kijana kushiriki kikamilifu kwenye shughuli za kilimo.Mkuu wa Idara ya Kilimo Biashara, Isaac Masusu ameshuhudia uzinduzi wa programu hio iliyojumuisha na viongozi wengine ambao ni;
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Tulia Ackson; Naibu Waziri wa Kilimo, Anthony Mavunde pamoja na Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Mhe. Juma Zuberi.
Mkuu wa Idara ya Kilimo Biashara NMB Isaac Masusu ameshuhudia uzinduzi wa programu ya vijana – ‘Building A Better Tomorrow
