Msanii wa Bongo Movie, Wolper ameposti video akiwa Leba na kuandika haya;
“Muombee Mama yako umri Mrefu kama Bado Yupo, leba Mama akiwepo kuna hali ya uchungu inapungua japo Maumivu yapo palepale, ila Niamini Mimi Mama ananafasi Yake hapa🥲.
–
Asante Mama kwa upendo wako, Asante Mama kwa Maombi yako, Asante Mama kwa Nafasi yako.
–
Na Mungu Akawabariki wa Mama wote Na Kila Mwanamke alyepita hapa Na kama ajapita Basi Namuombea Kila Mwananke Mwenye uhitaji Na Mtoto Basi Mungu akambariki🙏