
Jana jioni Klabu ya Yanga imecheza mchezo wa kirafiki dhidi ya KMC FC na kuibuka na ushindi wa magoli 2-1 ikiwa ni moja ya sehmu ya kuweka vizuri kikosi katika michezo ijayo ya ligi kuu ya NBC Tanzania bara.







David Mtewele, Christofora Mkalila and 12K others
ADVERTISEMENT
ADVERTISEMENT