ADVERTISEMENT
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv
Monday, February 6, 2023
  • Login
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
No Result
View All Result
ADVERTISEMENT

ZUCHU AMJIBU BOSSI WAKE KUONDOKA WCB

Shabani Rapwi by Shabani Rapwi
Aug 20, 2022
in HABARI
0
ZUCHU AMJIBU BOSSI WAKE KUONDOKA WCB
0
SHARES
233
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter
ADVERTISEMENT

 

RelatedPosts

DIAMOND KANILIPA MILIONI 17 VIDEO YA ZUWENA

DIAMOND KANILIPA MILIONI 17 VIDEO YA ZUWENA

Feb 5, 2023

VIJANA ACHENI KU-BET FANYENI KAZI – CHONGOLO

Feb 5, 2023

RAIS WA ZAMANI WA PAKISTAN AFARIKI DUNIA

Feb 5, 2023
Load More

 

Msanii maarufu kutoka Tanzania Zuchu, kupitia kwenye mahojiano na Wasafi TV amesema kwamba hana shida kulipa bilioni iwapo atataka kujiondoa katika lebo ya WCB inayomilikiwa na staa wa Bongo, Diamond Platnumz.

 

 

–

 

Hii ni baada ya Diamond kumjibu shabiki aliyemuuliza kuwa Zuchu atalipa kiasi gani cha pesa akitaka kujiondoa katika lebo hiyo ambapo alisema kwamba Zuchu atatakiwa kulipa Tsh bilioni 10 iwapo msanii huyo angetaka kutoka kwenye lebo hiyo. “Aahh huyo si chini ya 10 billion si unaona manamba yake huko mjini YouTube baba,”alijibu Diamond.

 

ADVERTISEMENT

 

 

 

–

 

Akijibu kauli ya bosi wake, Zuchu alisema; “Msanii anapoamua kubaki au kuondoka kwenye lebo naamini kila mkataba una makubaliano yanayopendelea pande zote mbili, ulikaa na kukubaliana, ikiwa ni shimo uliloingia ulichimba hela mwenyewe.”Ikiwa kuna mambo ulitaka yabadilishwe ulikuwa na nafasi ya kufanya hivyo mwenyewe.

 

–

ADVERTISEMENT

 

Kila kitu kinajadiliwa, wasanii walikuwa wanaondoka WCB hata kabla sijajiunga, kama ingetegemea mambo mengine ningesaini mkataba,” alisema Zuchu.

Related

ADVERTISEMENT
Shabani Rapwi

Shabani Rapwi

Shabani Rapwi (Kijana Mchapa Kazi) WhatsApp; 0689232546 Email ;shabanimohamed932@gmail.com

Related Posts

DIAMOND KANILIPA MILIONI 17 VIDEO YA ZUWENA
HABARI

DIAMOND KANILIPA MILIONI 17 VIDEO YA ZUWENA

by Shabani Rapwi
Feb 5, 2023
VIJANA ACHENI KU-BET FANYENI KAZI – CHONGOLO
HABARI

VIJANA ACHENI KU-BET FANYENI KAZI – CHONGOLO

by Shabani Rapwi
Feb 5, 2023
RAIS WA ZAMANI WA PAKISTAN AFARIKI DUNIA
HABARI

RAIS WA ZAMANI WA PAKISTAN AFARIKI DUNIA

by Shabani Rapwi
Feb 5, 2023
IDADI YA WALIOFARIKI AJALI YA TANGA YAONGEZEKA HADI 20
HABARI

IDADI YA WALIOFARIKI AJALI YA TANGA YAONGEZEKA HADI 20

by Shabani Rapwi
Feb 5, 2023
MANGE KIMAMBI AMCHANA  HAJI MANARA ‘WE NI MTU MZIMA’
HABARI

MANGE KIMAMBI AMCHANA HAJI MANARA ‘WE NI MTU MZIMA’

by Shabani Rapwi
Feb 5, 2023
NAJUA UCHUNGU WA MTOTO SIWEZI – WOLPER
HABARI

NAJUA UCHUNGU WA MTOTO SIWEZI – WOLPER

by Shabani Rapwi
Feb 5, 2023

KRANTZ MWANTEPELE (FOUNDER & CEO)

KONCEPT TV

https://www.youtube.com/watch?v=0HP0mB_rtIU&t=7s
KONCEPT TV

KONCEPT TWEETS

ADVERTISEMENT
August 2022
M T W T F S S
1234567
891011121314
15161718192021
22232425262728
293031  
« Jul   Sep »
Currently Playing
  • About
  • Advertise
  • Privacy & Policy
  • Contact

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

Welcome Back!

Login to your account below

Forgotten Password?

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In