Msanii wa muziki ambaye hapo awali alikuwa akihudumu katika Tasnia hio kama Video Vixen, Amber Lulu amsifu waziwazi msanii mwenzake Zuchu aliye chini ya Lebo ya WCB Wasafi nayomilikiwa na Diamond Platnumz (Naseeb Abdul) kwa kuandika kupitia IG yake leo Septemba 26,2022 kwa kugusia kuwa amegunua kitu kuwa “Zuchu ana uzuri wa asili”.
ADVERTISEMENT