Msichana mmoja kutoka nchini Nigeria, Emejiaka Joy Chika amevuna zaidi ya Milioni 60 za kitanzania baada ya kukubali msamaha kutoka kwa mpenzi wake.
Wawili hao waliingia kwenye ugomvi, ambao chanzo chake hakijajulikana bado, mwanaume huyo aligundua kosa lake na kuamua kurudi na kuomba msamaha kwa mpenzi wake huyo.
ADVERTISEMENT
Mpenzi wa Emijiaka alimzawadia mpenzi wake huyo hundi ya thamani ya Naira Milioni 10 ambayo ni zaidi ya Milioni 60 za kitanzania, maua pamoja na mdoli wa ‘Bear’.
ADVERTISEMENT