ADVERTISEMENT
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv
Thursday, June 1, 2023
  • Login
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
No Result
View All Result

BENKI YA NBC KUSHIRIKIANA NA KAMPUNI YA KANU EQUIPMENT KUTOA MIKOPO NAFUU YA VIFAA VYA KILIMO

Dar es Salaam, Tanzania

ALFRED MTEWELE by ALFRED MTEWELE
Sep 21, 2022
in BIASHARA
0
BENKI YA NBC KUSHIRIKIANA NA KAMPUNI YA KANU EQUIPMENT KUTOA MIKOPO NAFUU YA VIFAA VYA KILIMO
0
SHARES
126
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter

ADVERTISEMENT
Mkurugenzi wa Kitengo cha Biashara wa Benki ya NBC ,Bw. Elvis Ndunguru(Kushoto), Akiwa na Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya KANU EQUIPMENTS, Bw. Warren Heger(Kulia) kwenye hafla ya utiaji saini mkataba wa makubaliano ya kutoa mikopo nafuu kwa wakulima kwa ajili ya kununulia pembejeo za kilimo ili kuongeza tija na ufanisi katika sekta ya kilimo nchini.
Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) kwakushirikiana na KANU EQUIPMENT jana wametia saini mkataba wa maridhiano ili kutoa mikopo nafuu kwa wakulima kwa ajili ya kununulia pembejo za kilimo ili kuongeza tija na ufanisi katika sekta ya kilimo nchini. Akizungumza katika hafla hiyo iliyofanyika katika Makao Makuu ya Benki ya NBC, Mkurugenzi wa Kitengo cha Biashara Elvis Nduguru alisema; “Sisi Benki ya NBC tukiwa wadau wakubwa wa kilimo nchini tunathamini na kutambua mchango wa kilimo katika pato la taifa. Kilimo kinachangia zaidi ya asilimia 65% ya uzalishaji nchini na pia kinatoa zaidi asilimia 75% ya ajira zote. Kilimo ndio uti wa mgongo wa taifa letu. Hivi karibuni Serikali kupitia Waziri wa Kilimo imetangaza mpango maalum wa kuboresha kilimo ujulikanao kama “ajenda 10/30” ambao unalenga kuongeza ukuaji wa sekta ya kilimo kutoka asilia 5 mpaka 10 ifikapo mwaka 2030. Sisi Benki ya NBC tukiwa wadau wakubwa wa kilimo nchini, tumeona ni vema kuunga mkono juhudi hizi za Serkali yetu kwa kukutana na wenzetu wa KANU, ambao ni watalaam katika masuala ya uuzaji wa vifaa vya kilimo kutoa mikopo nafuu ili kuongeza ufanisi katika uzalishaji. Kupitia maridhiano haya, wanunuzi wa pembejeo za kilimo kupitia kampuni ya KANU nchi nzima, ikiwemo matrekta, wataweza kupata mikopo nafuu na ya haraka kununua vifaa kama matrekta ndani ya siku kumi na nne” alisema.

Awali Mkuu wa Kitengo cha Kilimo wa Benki hiyo Raymond Urassa akifafanua kuhusu faida na vigezo kwa wakulima kupitia bidhaa hii alisema; “makubaliano haya tunayosaini leo yatawawezesha wakulima na wafanyabiashara waliopo kwenye mnyororo wa thamani wa mazao ya kilimo, kupata zana za kilimo na pembejeo kwa gharama nafuu na kwa wakati stahiki. Lengo letu ni kuhakikisha Mkulima anapata trekta lake ndani ya siku kumi na nne huku wakiwa na muda rafiki wa marejesho ya mkopo kulingana na msimu wa zao husika” alisema. Mwakilishi wa KANU EQUIPMENT Edson Nalogwa alieleza furaha waliokuwa nayo kusaini na kutoa huduma kwa wakulima kupitia Benki ya NBC akisema; Benki ya NBC ni sehemu sahihi
katika ukuzaji wa kilimo nchini ikiwa wana bidhaa mbali mbali za kusaidia kukuza Kilimo. Mikopo
hii ni rafiki na ina masharti nafuu, ikiwamo chombo chenyewe kutumika kama dhamana ya mkopo” alisema.
Benki ya NBC ni mdau wakubwa wa kilimo nchini ikitoa mikopo mingi kwenye sekta ya kilimo na mnyororo mzima wa sekta hiyo yenye kuajiri watu wengi zaidi nchini.

RelatedPosts

Dkt. Mpango Aguswa na Jitihada za NBC Kuchochea Maendeleo Serikali za Mitaa.

Dkt. Mpango Aguswa na Jitihada za NBC Kuchochea Maendeleo Serikali za Mitaa.

May 29, 2023

BENKI YA NBC YAKABIDHI GAWIO LA TSH. BIL 20 KWA WANAHISA WAKE, YAJIVUNIA MAFANIKIO

May 17, 2023

NAFASI ZA KAZI BENKI YA NBC

Apr 25, 2023
Load More
Mkurugenzi wa Kitengo cha Biashara wa Benki ya NBC ,Bw. Elvis Ndunguru(Kushoto), Akiwa na Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya KANU EQUIPMENTS, Bw. Warren Heger(Kulia) wakikabidhiana mikataba iliyosainiwa.
Mkurugenzi wa Kitengo cha Biashara wa Benki ya NBC ,Bw. Elvis Ndunguru (Kushoto), Akiwa na Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya KANU EQUIPMENTS, Bw. Warren Heger (Kulia) wakikabidhiana mikataba iliiyosainiwa huku wadau wengine wakiwa pembeni yao wakishuhudia makabidhiano hayo.
Mkurugenzi wa Kitengo cha Biashara wa Benki ya NBC ,Bw. Elvis Ndunguru wa pili (Kushoto), Akiwa na Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya KANU EQUIPMENTS, Bw. Warren Heger wa kwanza (Kulia), pamoja na wadau wengine wawili wakizungumza jambo kwa pamoja.
ADVERTISEMENT

Related

Tags: NBC Bank
ADVERTISEMENT
ALFRED MTEWELE

ALFRED MTEWELE

Related Posts

VODACOM IMEZINDUA RASMI SIMU AINA YA TECNO CAMON 20 SERIES YENYE UWEZO WA 5G
BIASHARA

VODACOM IMEZINDUA RASMI SIMU AINA YA TECNO CAMON 20 SERIES YENYE UWEZO WA 5G

by ALFRED MTEWELE
May 23, 2023
BENKI YA NBC YAKABIDHI GAWIO LA TSH. BIL 20 KWA WANAHISA WAKE, YAJIVUNIA MAFANIKIO
BIASHARA

BENKI YA NBC YAKABIDHI GAWIO LA TSH. BIL 20 KWA WANAHISA WAKE, YAJIVUNIA MAFANIKIO

by ALFRED MTEWELE
May 17, 2023
KUTOKA MAGAZETINI LEO JUMATANO TAREHE 17 MEI  2023
BIASHARA

KUTOKA MAGAZETINI LEO JUMATANO TAREHE 17 MEI 2023

by I am Krantz
May 17, 2023
KUTOKA KURASA ZA Magazetiya Tanzania leo MEI 14, 2023
BIASHARA

KUTOKA KURASA ZA Magazetiya Tanzania leo MEI 14, 2023

by I am Krantz
May 14, 2023
BENKI YA CRDB YAZINDUA MIKOPO YA HIJA NA UMRAH ISIYO NA RIBA
BIASHARA

BENKI YA CRDB YAZINDUA MIKOPO YA HIJA NA UMRAH ISIYO NA RIBA

by ALFRED MTEWELE
May 11, 2023
KUTOKA KATIKA MAGAZETI YA LEO ALHAMISI TAREHE 11 MEI 2023    #KoncepttvUpdates
BIASHARA

KUTOKA KATIKA MAGAZETI YA LEO ALHAMISI TAREHE 11 MEI 2023 #KoncepttvUpdates

by I am Krantz
May 11, 2023

KRANTZ MWANTEPELE (FOUNDER & CEO)

KONCEPT TV

https://www.youtube.com/watch?v=0HP0mB_rtIU&t=7s
KONCEPT TV

KONCEPT TWEETS

ADVERTISEMENT
September 2022
M T W T F S S
 1234
567891011
12131415161718
19202122232425
2627282930  
« Aug   Oct »
Currently Playing
  • About
  • Advertise
  • Privacy & Policy
  • Contact

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

Welcome Back!

Login to your account below

Forgotten Password?

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In