ADVERTISEMENT
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv
Tuesday, October 3, 2023
  • Login
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
No Result
View All Result

BIG BAD WOLF KUFANYA MAGEUZI UUZAJI WA VITABU TANZANIA

Shabani Rapwi by Shabani Rapwi
Sep 8, 2022
in HABARI
0
BIG BAD WOLF KUFANYA MAGEUZI UUZAJI WA VITABU TANZANIA
0
SHARES
192
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter

 

RelatedPosts

KANISA LAPOROMOKA MEXICO NA KUUWA WATU 10

KANISA LAPOROMOKA MEXICO NA KUUWA WATU 10

Oct 2, 2023

TAKRIBAN WAHAMIAJI 10 WAMEFARIKI NA WENGINE 25 KUJERUHIWA KATIKA AJALI YA LORI NCHINI MEXICO

Oct 2, 2023

AIRPORT YA ZANZIBAR IPO BUSY KULIKO YA DAR ES SALAAM

Oct 2, 2023
Load More

Kapuni ya Big Bad Wolf imedhamiria kuleta mageuzi kwenye uuzaji wa vitabu ambapo inatarajia kufanya mnada mkubwa wa vitabu Afrika na Tanzania imekuwa nchi ya kwanza kupata bahati hiyo.

 

 

–

 

Mnada huo utafanyika kuanzia Septemba 8 hadi 18 kwenye Ukumbi wa Diamond Jubilee ambapo kutakuwa na zaidi ya nakala 500,000 za vitabu kutoka kwa waandishi wakubwa 15,000 wa mataifa mbalimbali duniani.

 

 

 

–

 

 

Tayari Big Bad Wolf wenye makao yao nchini Malaysia wamefanya minada 13 katika miji tofauti ikiwamo Cambodia, Hong Kong, Indonesia, Myanmar, Pakistan, Ufilipino, Sri Lanka, Korea Kusini, Singapore, Thailand, Taiwan, Falme za Kiarabu (UAE) na Afrika Tanzania itakuwa nchi ya kwanza.

 

 

 

Akizungumza na waandishi wa habari, Mkurugenzi mtendaji wa kampuni ya Big Bad Wolf, Andrew Yap, alisema dhamira yao ni kukuza mazoea ya usomaji wa vitabu na kujenga kizazi cha wasomaji, hivyo wameamua kuweka punguzo hadi la asilimia 80 ili kutoa fursa kwa Watanzania kujipatia vitabu.

 

 

–

 

 

 

Naye mwanzilishi mwenza wa Big Bad Wolf, Mohamed Noor, alisema vitabu vyao ni vile vilivyowekwa sokoni miaka ya karibuni na ni vitabu vya kimasomo vyenye maadili kwa watoto na hadithi na vimeandikwa na waandishi kutoka mataifa mbalimbali lakini akasema hakuna vitabu vilivyoandikwa na Watanzania.

 

 

 

–

 

 

“Kwa kuwa hii ni mara yetu ya kwanza kuuza vitabu nchini Tanzania hatutakuwa na vitabu vilivyoandikwa na Watanzania lakini tutakaporudi kwa mara ya pili tutatoa nafasi kwa waandishi wa Kitanzania kuuza vitabu vyao,” alisema.

Related

Shabani Rapwi

Shabani Rapwi

Related Posts

KANISA LAPOROMOKA MEXICO NA KUUWA WATU 10
HABARI

KANISA LAPOROMOKA MEXICO NA KUUWA WATU 10

by SUZO SHUKRANI
Oct 2, 2023
HABARI

TAKRIBAN WAHAMIAJI 10 WAMEFARIKI NA WENGINE 25 KUJERUHIWA KATIKA AJALI YA LORI NCHINI MEXICO

by SUZO SHUKRANI
Oct 2, 2023
AIRPORT YA ZANZIBAR IPO BUSY KULIKO YA DAR ES SALAAM
HABARI

AIRPORT YA ZANZIBAR IPO BUSY KULIKO YA DAR ES SALAAM

by SUZO SHUKRANI
Oct 2, 2023
MIFUMO YA KIFEDHA KULINDWA ZAIDI
BIASHARA

MIFUMO YA KIFEDHA KULINDWA ZAIDI

by SUZO SHUKRANI
Oct 2, 2023
SIKU 7 ZATOLEWA MILANGO KUBADILISHWA
HABARI

SIKU 7 ZATOLEWA MILANGO KUBADILISHWA

by SUZO SHUKRANI
Oct 2, 2023
TWENDE BUTIAMA YAANZA RASMI KUTOKA DAR MPAKA BUTIAMA
HABARI

TWENDE BUTIAMA YAANZA RASMI KUTOKA DAR MPAKA BUTIAMA

by SUZO SHUKRANI
Oct 2, 2023

KRANTZ MWANTEPELE (FOUNDER & CEO)

KONCEPT TV

https://www.youtube.com/watch?v=0HP0mB_rtIU&t=7s
KONCEPT TV

KONCEPT TWEETS

September 2022
M T W T F S S
 1234
567891011
12131415161718
19202122232425
2627282930  
« Aug   Oct »
Currently Playing
  • About
  • Advertise
  • Privacy & Policy
  • Contact

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

Welcome Back!

Login to your account below

Forgotten Password?

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In