Benki ya CRDB yaungana na Selcom Tanzania ili kurahisisha huduma za malipo mahali popote mtumiaji akihitaji kufanya miamala ya malipo ya bidhaa au huduma aliyopatiwa.
UKIONA SELCOM, LIPA!
UKIONA CRDB, LIPA!
“Leo tumeungana rasmi na kampuni ya malipo ya @selcomtanzania katika kuendelea kurahisisha huduma za malipo popote ulipo. Hii ni kubwa kuliko. Bango ni kubwa, Selcom wameingia mzigoni. Fanya malipo ya selcom kupita SimBanking.
Chagua LIPA HAPA > Chagua akaunti ya kulipia > Chagua Selcom Pay > Weka namba ya biashara