Mshambuliaji wa Ufaransa, Olivier Giroud (35) amefunga goli lake la 49 akiwa na timu ya Taifa ya Ufaransa katika ushindi wa 2-0 wa Ufaransa dhidi ya Austria.
ADVERTISEMENT
–
Giroud amebakisha magoli 2 kufikia rekodi ya Thierry Henry ambaye ndio mfungaji wa muda wote wa Taifa hilo akiwa na magoli 51.
ADVERTISEMENT