Msanii wa mziki wa kizazi kipya nchini Tanzania, Harmonize (Rajab Kahali/Konde boy) ameachia rasmi video ya Wimbo wake ufahamikao kama “Utaubeba” ambao hivi sasa unashikiria nafasi namba 1 katika Video zinazotrend katika mtandao wa Youtube. Msanii huyo amemtumia meneja wake ambaye ni msanii maarufu katika tasinia ya uigizaji Kajala Masanja kama video vixen wake.