Imekuwa ni kawaida katika baadhi ya maeneo ya Ofisini, Nyumbani na kwingineko kuandamwa na mbu kwa sana kiasi kwamba mtu au watu aliopo katika eneo husika kukosa utulivu au kukaa kwa amani, ila bunifu za kisayansi zimetoa suluhu juu ya changamoto hio. Ukuwaji wa kasi wa Teknolojia umeleta bunifu hii ya Taa ya Umeme inayoangamiza mbu katika eneo kubwa linalokuzunguka binaadamu kwa muda kidogo. Taa hiyo ina sifa zifuatazo;
✅Ni nzuri sana
✅Ni rahisi kutumia
✅Haina madhara
✅Haitumii mionzi
✅ Inaua mbu wengi kwa wakati mmoja