Jeshi la Polisi la Nchini Tanzania leo mapema limezindua rasmi Kampeni maalum ya mwezi wa Usalimishaji wa Silaha Haramu kwa wote wanaomiliki Silaha za aina yoyote kinyume na Sheria. Zoezi hilo la ufunguzi lililofanyika katika uwanja wa Mashujaa jijini Dodoma, limehuzuliwa na Mkuu wa Jeshi la Polisi IGP Mpya Camilius Wambura akiambatana na wadau wengine kutokea jeshi la polisi na baadhi ya viongozi wa kidini ambalo limepewa nafasi kati ya Septemba 1 hadi Octoba 31, 2022.
ADVERTISEMENT
ADVERTISEMENT