Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Mhe. Innocent Bashungwa akiwa katika Picha ya Pamoja na Wajumbe wa Kamati ya Fedha, Uongozi na Mipango wa Halmashari ya Wilaya Karagwe, wakiongozwa na Mwenyekiti wa Halmashauri, Mhe. Wallace Mashanda Wakati walipotembelea Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ukiwa ni mwendelezo wa ziara yao ya kujifunza namna ya kuboresha ukusanyaji wa Mapato na kutoa huduma bora kwa wananchi. Jana Septemba 19, 2022.