Mchezaji anayekipiga mnamo klabu ya Simba nchini Tanzania, Nasoro Kapama ameweza kuonyesha uwezo mkubwa kwa kocha mkuu wa klabu hio Juma Mgunda baada ya kufunga goli lililoipa ushindi timu hio wakati akicheza nafasi ya kiungo mshambuliaji Kupitia mechi ya kwanza kati ya mbili za kirafiki iliyochezwa Septemba 25, 2022 kati ya klabu ya Simba dhidi ya timu kongwe visiwani Zanzibar Malindi SC, Mchezo huo ulipokamilika Simba iliibuka na Ushindi wa 1-0 dhidi ya Malindi SC.
ADVERTISEMENT