ADVERTISEMENT
Baada ya klabu ya Simba kukipiga katika mechi ya kirafiki ya kimataifa dhidi ya Al Hilal ya Sudani iliyochezwa Agosti 31, 2022 katika makao makuu ya nchi hio Khartoum, kikosi kimerejea nchini Tanzania kwa ajili ya maandalizi ya Michuano ijayo.
ADVERTISEMENT