Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Tanzania Mh. Nape Nnauye ameshiriki pamoja na wadau wa tehama na miundombinu yake hii leo Agosti 7, 2022 hapa nchini na kwingineko katika kuadhimisha kongamano linalowaunganisha wadau hao kutoka nchi mbalimbali hapa Duniani ili kukazania matumizi bora ya tehama katika kukuza maendeleo ya nchi kutetea masuala ya jinsia, na pia bila kuathiri mahusiano ya mataifa na viumbe hai kulingana na ukuaji wa kasi wa teknolojia.
ADVERTISEMENT
ADVERTISEMENT