ADVERTISEMENT
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv
Tuesday, September 26, 2023
  • Login
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
No Result
View All Result

LATRA YAENDELEA KUSHUGHULIKIA CHANGAMOTO ZA TEKSI MTANDAO

Dar es Salaam, Tanzania

MTEWELE ALFRED by MTEWELE ALFRED
Sep 13, 2022
in BIASHARA
0
LATRA YAENDELEA KUSHUGHULIKIA CHANGAMOTO ZA TEKSI MTANDAO
0
SHARES
83
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter

LATRA YAENDELEA KUSHUGHULIKIA CHANGAMOTO ZA  TEKSI MTANDAO

Mkurugenzi Mkuu LATRA CPA Habibu Suluo amesema kuwa Mamlaka inaendelea kushughulikia changamoto za huduma za teksi mtandao, ikiwa ni pamoja na kufanya mazungumzo na madereva na kampuni za teksi mtandao nchini.

RelatedPosts

LATRA; RUKSA MABASI YA MIKOANI KUANZA SAFARI ZAKE SAA TISA USIKU

LATRA; RUKSA MABASI YA MIKOANI KUANZA SAFARI ZAKE SAA TISA USIKU

May 4, 2023
Load More

CPA Suluo amesema hayo  Septemba 12, 2022 jijini Arusha alipozungumza na waandishi wa habari kuhusu Mkutano wa Wadau wa Reli, Tiketi Mtandao na Mazungumzo kuhusu Tiketi Mtandao.

Aidha ameeleza kuwa, kati ya tarehe 5 na 8 Septemba, 2022, Mamlaka ilifanya vikao na Chama cha Madereva wa Teksi Mtandao Tanzania (TODA), kampuni za Bolt na Uber ili kubadilishana taarifa na hoja za kibiashara na kiuchumi ili kusaidia kampuni za mifumo ya teksi mtandao, madereva na abiria kupata huduma bora, endelevu na kwa thamani halisi ya pesa.

CPA Suluo ameongeza kuwa, “kufuatia vikao hivyo, Mamlaka imeona itoe taarifa kwa umma kwamba vikao vyetu na mazungumzo yetu na TODA, Bolt na Uber yalikwenda vizuri. Kuna taarifa ya maandishi tunasubiri tupate leo na si zaidi ya kesho toka kwa Bolt na Uber ili na sisi tukamilishe taratibu zetu za ndani kabla hatujatangaza rasmi maamuzi ya Mamlaka.”

“Niwashukuru kipekee Uongozi wa TODA na watoa huduma wa teksi mtandao walioendelea kutoa huduma ikiwa ni pamoja na Paisha, Ping, Indrive na Little Ride,” amesema CPA Suluo.

Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA), kwa mujibu wa Sheria Na. 3 ya mwaka 2019 ilitangaza viwango vya nauli za teksi mtandao kupitia Gazeti la Serikali Na. 1369 la tarehe 8 Aprili, 2022 na vyombo vingine vya habari. Kampuni za mifumo ya teksi mtandao za Bolt na Ubber zilisitisha baadhi ya huduma za usafiri wa teksi mtandao kufuatia kutoridhika na kiwango cha ukomo cha kamisheni cha asilimia 15 wanayopaswa kuwatoza madereva husika.

Related

Tags: LATRA
MTEWELE ALFRED

MTEWELE ALFRED

Related Posts

BENKI YA NMB YAZINDUA HATI FUNGANI YA MUDA WA KATI
BIASHARA

BENKI YA NMB YAZINDUA HATI FUNGANI YA MUDA WA KATI

by SUZO SHUKRANI
Sep 25, 2023
Maurel and Prom: Empowering Tanzania’s Sustainable Energy Economy
BIASHARA

Maurel and Prom: Empowering Tanzania’s Sustainable Energy Economy

by I am Krantz
Sep 22, 2023
NMB BANK YAZINDUA NURU YANGU SCHOLARSHIP DIRISHA LA PILI
BIASHARA

NMB BANK YAZINDUA NURU YANGU SCHOLARSHIP DIRISHA LA PILI

by SUZO SHUKRANI
Sep 15, 2023
VODACOM TANZANIA FOUNDATION YAWADHAMINI WAENDESHA BAISKELI WA TWENDE BUTIAMA
BIASHARA

VODACOM TANZANIA FOUNDATION YAWADHAMINI WAENDESHA BAISKELI WA TWENDE BUTIAMA

by SUZO SHUKRANI
Sep 13, 2023
MAVUNDE ABAINISHA DIRA SEKTA YA MADINI KUELEKEA 2030
BIASHARA

MAVUNDE ABAINISHA DIRA SEKTA YA MADINI KUELEKEA 2030

by SUZO SHUKRANI
Sep 12, 2023
TANZANIA, MAREKANI KUIMARISHA SEKTA YA MADINI NCHINI
BIASHARA

TANZANIA, MAREKANI KUIMARISHA SEKTA YA MADINI NCHINI

by SUZO SHUKRANI
Sep 8, 2023

KRANTZ MWANTEPELE (FOUNDER & CEO)

KONCEPT TV

https://www.youtube.com/watch?v=0HP0mB_rtIU&t=7s
KONCEPT TV

KONCEPT TWEETS

September 2022
M T W T F S S
 1234
567891011
12131415161718
19202122232425
2627282930  
« Aug   Oct »
Currently Playing
  • About
  • Advertise
  • Privacy & Policy
  • Contact

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

Welcome Back!

Login to your account below

Forgotten Password?

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In