ADVERTISEMENT
Haya ndio matokeo ya mechi iliopangwa katika ratiba ya jana ya Ligi kuu ya NBC Tanzania Bara kati ya KMC FC na IHEFU FC ndani ya Uwanja wa Uhuru, Zimetoka kwa kufungana KMC FC 2-1 IHEFU FC. Magoli mawili ya KMC yamefungwa na Matheo Antony 3′ na Nzigamasho Styve77′, kwa upande wa IHEFU goli lao limefungwa na Raphael Daud 65′.
ADVERTISEMENT