Mechi zilizochezwa Septemba 11, 2022 zilikuwa na matokeo yafuatayo; Singida Big Stars FC akiwa mwenyeji wa mchezo dhidi ya Dodoma Jiji FC wmetoka 0-0 saa 10:00 jioni katika uwanja wa Liti, Namungo FC akiwa mwenyeji wa mchezo dhidi ya Ruvu Shooting FC wametoka 1-0 saa 1:00 usiku katika uwanja wa Majaliwa uliozinduliwa hapo jana.