ADVERTISEMENT
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv
Monday, February 6, 2023
  • Login
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
No Result
View All Result
ADVERTISEMENT

MZAZI AMPA MIMBA MWANAE ILI ASIOLEWE

Manyara Tanzania

ALFRED MTEWELE by ALFRED MTEWELE
Sep 8, 2022
in HABARI
0
MZAZI AMPA MIMBA MWANAE ILI ASIOLEWE
0
SHARES
211
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter
ADVERTISEMENT

Shirika laonya mimba za utotoni - Mtanzania

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kiteto Mkoani Manyara imemuhukumu kifungo cha miaka 30 Jela, Yerenia Chidaka, Mkazi wa Kijiji cha Dongo Wilayani Kiteto, baada ya kufanya ngono na kumtia mimba Mtoto wake wa miaka 16.

RelatedPosts

SERIKALI YAJA  NA MBINU MBADALA  KUPAMBANA NA UKATILI

SERIKALI YAJA NA MBINU MBADALA KUPAMBANA NA UKATILI

Jan 26, 2023

SERIKALI YAFUTA MASHIRIKA 4898 YASIYO YA KISERIKALI

Jan 26, 2023

KATEKISTA ADAIWA KUBAKA MWANAFUNZI

Jan 24, 2023
Load More

Mtuhumiwa  huyo alikiri kosa hilo hii leo, mbele ya Hakimu Mkazi Mosi Sasy, na kusema hataki kuisumbua Mahakama na kusema aliamua kumpa mimba Mtoto wake huyo ili asiolewe na Mwanaume wa Kabila la Wakamba.

ADVERTISEMENT

Imeelezwa kuwa Baba huyo alipomuuliza Mke wake juu ya suala la kutotaka Mtoto wao aolewe na Wakamba, Mkewe alimjibu kwa dhihaka kwamba kama hataki aolewe basi amuoe yeye na ndipo alipoamua kumpa ujauzito.

Alipotakiwa kujitetea, Mtuhumiwa aliiomba Mahakama impunguzie adhabu kwakuwa shetani alimpitia kutenda kosa hilo, huku Mwendesha Mashtaka wa Polisi Mahakamani hapo Inspekta Wilfred Mollel, akisema Jeshi la Polisi halina taarifa kama Mtuhumiwa aliwahi kufanya kosa zaidi ya hilo na kumwomba Hakimu kumpa adhabu inayostahiki.

ADVERTISEMENT

Related

Tags: WIZARA YA MAENDELEO YA JAMII
ADVERTISEMENT
ALFRED MTEWELE

ALFRED MTEWELE

Related Posts

DIAMOND KANILIPA MILIONI 17 VIDEO YA ZUWENA
HABARI

DIAMOND KANILIPA MILIONI 17 VIDEO YA ZUWENA

by Shabani Rapwi
Feb 5, 2023
VIJANA ACHENI KU-BET FANYENI KAZI – CHONGOLO
HABARI

VIJANA ACHENI KU-BET FANYENI KAZI – CHONGOLO

by Shabani Rapwi
Feb 5, 2023
RAIS WA ZAMANI WA PAKISTAN AFARIKI DUNIA
HABARI

RAIS WA ZAMANI WA PAKISTAN AFARIKI DUNIA

by Shabani Rapwi
Feb 5, 2023
IDADI YA WALIOFARIKI AJALI YA TANGA YAONGEZEKA HADI 20
HABARI

IDADI YA WALIOFARIKI AJALI YA TANGA YAONGEZEKA HADI 20

by Shabani Rapwi
Feb 5, 2023
MANGE KIMAMBI AMCHANA  HAJI MANARA ‘WE NI MTU MZIMA’
HABARI

MANGE KIMAMBI AMCHANA HAJI MANARA ‘WE NI MTU MZIMA’

by Shabani Rapwi
Feb 5, 2023
NAJUA UCHUNGU WA MTOTO SIWEZI – WOLPER
HABARI

NAJUA UCHUNGU WA MTOTO SIWEZI – WOLPER

by Shabani Rapwi
Feb 5, 2023

KRANTZ MWANTEPELE (FOUNDER & CEO)

KONCEPT TV

https://www.youtube.com/watch?v=0HP0mB_rtIU&t=7s
KONCEPT TV

KONCEPT TWEETS

ADVERTISEMENT
September 2022
M T W T F S S
 1234
567891011
12131415161718
19202122232425
2627282930  
« Aug   Oct »
Currently Playing
  • About
  • Advertise
  • Privacy & Policy
  • Contact

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

Welcome Back!

Login to your account below

Forgotten Password?

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In