Baraza la mitihani la Tanzania, NECTA limeujuza umma kwamba imesitisha utaratibu wa ulipaji wa Ada za mitihati kwa watainiwa wa Shule zote za Serikali kuanzia shule za msingi, Sekondari, na kidato cha 5 hadi cha 6. Utaratibu malipo ya ada hio utaendelezwa kwa watahiniwa wa shule binafsi tu.