Leo hii mapema, Benki ya NMB imetangaza rasmi zawadi nono ya fedha taslimu zinazofikia takribani Shilingi Milioni 20.5 kwa ajili ya wakimbiaji wataoibuka vinara katika NMB Marathon 2022 kwa kila umbali, kwa kulenga makundi tofauti ikiwemo wanaume, wanawake na watoto. Pia imetoa rai kwa washiriki kuundelea na maandalizi.
Endelea kujifua, Septemba 24, vumbi litatimka ,sajili au changia kupitia marathon.nmbbank.co.tz