ADVERTISEMENT
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv
Tuesday, October 3, 2023
  • Login
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
No Result
View All Result

PICHA; AMSHA AMSHA ZA NMB MARATHON

I am Krantz by I am Krantz
Sep 7, 2022
in HABARI
0
PICHA; AMSHA AMSHA ZA NMB MARATHON
0
SHARES
209
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter

Wanachama wa klabu za jogging kutoka NMB na EFM wakipasha misuli katika Makao Makuu wa Benki ya NMB, jijini Dar es salaam kabla ya kuanza mazoezi ya kukimbia pamoja ikiwa ni maandalizi ya Mbio za hisani za NMB Marathon zenye kauli mbiu ya “Mwendo wa Upendo” zitakazofanyika tarehe 24 Septemba 2022 – Leaders Club.

RelatedPosts

KANISA LAPOROMOKA MEXICO NA KUUWA WATU 10

KANISA LAPOROMOKA MEXICO NA KUUWA WATU 10

Oct 2, 2023

TAKRIBAN WAHAMIAJI 10 WAMEFARIKI NA WENGINE 25 KUJERUHIWA KATIKA AJALI YA LORI NCHINI MEXICO

Oct 2, 2023

AIRPORT YA ZANZIBAR IPO BUSY KULIKO YA DAR ES SALAAM

Oct 2, 2023
Load More

Wanachama wa klabu za jogging kutoka NMB na EFM wakiwa katika mazoezi ya pamoja ikiwa ni maandalizi ya Mbio za hisani za NMB Marathon zenye kauli mbiu ya “Mwendo wa Upendo” zitakazofanyika tarehe 24 Septemba mwaka huu kuanzia viwanja vya Leaders club na kumalizikia katika viwanja hivyo.

*************************

Wakati mbio za NMB Marathon zikitarajiwa kutimua vumbi Septemba 24 mwaka huu, klabu ya NMB Jogging yenyewe jana Jumatatu ilianza kujifua mapema kwa ajili ya kujiweka tayari kushiriki mbio hizo.

Jogging hiyo ilianza kujiandaa na mbio hizo kushirikiana klabu ya EFM Jogging ambapo walianza maandalizi hayo kwa kukimbia mbio za kilomita nane. Mbio hizo zilianzia kwenye Ofisi za NMB, Posta jijini Dar.

Mbio hizo za NMB Marathon ambazo huu ni msimu wake wa pili zinatarajiwa kurindima katika Viwanja vya Leaders, Dar ambapo mgeni wake rasmi anatarajiwa kuwa Waziri Mkuu, Mhe. Kassim Majaliwa.

Mbio hizo zenye kauli mbiu ya Mwendo wa Upendo zinafanyika maalum kwa ajili ya kuchangisha fedha kusaidia matibabu ya akina mama wenye matatizo ya Fistula.

Meneja wa NMB Jogging, Stella Motto amesema wana siku chache kabla ya kufikia Septemba 24 ambapo NMB Marathon itafanyika, hivyo wameona wapashe misuli ili wawe sawa na kuwakumbusha wadau kujisajili na mbio hizo zenye lengo kuu la kukusanya fedha kwa ajili ya kina mama wenye matatizo ya fistula.

Kwa upande wake mwakilishi wa EFM, Tunu Hassan alisema “Hii siyo mara ya kwanza kwa NMB kurudisha kwa jamii, hivyo nasi tumeona tuungane nao kwa ajili ya jambo hilo.

Jisajili na NMB Marathon kupitia https://marathon.nmbbank.co.tz/ au sogea Mlimani City kila Jumasosi na Jumapili kuanzia saa 3 asubuhi mpaka 12 jioni. Pia, Mtana Bar(Oysterbay) na Juliana Pub( Mbezi Beach) Ijumaa, jumamosi na jumapili kuanzia saa 6:30 mchana mpaka saa 4 usiku.

Related

I am Krantz

I am Krantz

👉 FOUNDER & CEO of KONCEPT 👉Serial & Self-made Entrepreneur 👉Digital media consultant 👉Pr & media Guru/Awards winner Blogger 👉Startuper of the year 2016 by TOTAL 👉TOP 50 Most influential young Tanzania 2017 👉General Secretary at Tanzania Bloggers Network 👉 UPG Sustainability Leader in the Class of 2021 👉 ALUMNI The Tony Elumelu Foundation 👉Chairman YOUNG CEO CLUB Tanzania 🇹🇿 ‘ 😊 Marketer BY Education, Entrepreneur BY Profession & Blogger BY Passion ”😊

Related Posts

KANISA LAPOROMOKA MEXICO NA KUUWA WATU 10
HABARI

KANISA LAPOROMOKA MEXICO NA KUUWA WATU 10

by SUZO SHUKRANI
Oct 2, 2023
HABARI

TAKRIBAN WAHAMIAJI 10 WAMEFARIKI NA WENGINE 25 KUJERUHIWA KATIKA AJALI YA LORI NCHINI MEXICO

by SUZO SHUKRANI
Oct 2, 2023
AIRPORT YA ZANZIBAR IPO BUSY KULIKO YA DAR ES SALAAM
HABARI

AIRPORT YA ZANZIBAR IPO BUSY KULIKO YA DAR ES SALAAM

by SUZO SHUKRANI
Oct 2, 2023
MIFUMO YA KIFEDHA KULINDWA ZAIDI
BIASHARA

MIFUMO YA KIFEDHA KULINDWA ZAIDI

by SUZO SHUKRANI
Oct 2, 2023
SIKU 7 ZATOLEWA MILANGO KUBADILISHWA
HABARI

SIKU 7 ZATOLEWA MILANGO KUBADILISHWA

by SUZO SHUKRANI
Oct 2, 2023
TWENDE BUTIAMA YAANZA RASMI KUTOKA DAR MPAKA BUTIAMA
HABARI

TWENDE BUTIAMA YAANZA RASMI KUTOKA DAR MPAKA BUTIAMA

by SUZO SHUKRANI
Oct 2, 2023

KRANTZ MWANTEPELE (FOUNDER & CEO)

KONCEPT TV

https://www.youtube.com/watch?v=0HP0mB_rtIU&t=7s
KONCEPT TV

KONCEPT TWEETS

September 2022
M T W T F S S
 1234
567891011
12131415161718
19202122232425
2627282930  
« Aug   Oct »
Currently Playing
  • About
  • Advertise
  • Privacy & Policy
  • Contact

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

Welcome Back!

Login to your account below

Forgotten Password?

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In