Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa katika ziara ya Kiserikali nchini Msumbiji leo tarehe 21 Septemba, 2022.
Akiwa katika ziara hiyo amegusia mambo mbalimbali ya kimaendeleo ambayo kupitia mahusiano mazuri kati ya nchi hizo kuweza kuyafanikisha kwa kiwango cha hali ya juu.
ADVERTISEMENT
ADVERTISEMENT