Klabu ya Al Ittihad Alex SC ya Ligi kuu Misri imethibitisha kumteua aliyekuwa kocha wa Simba SC Zoran Maki kuwa kocha mkuu mpya klabuni hapo kwa mkataba wa miaka mitatu.
ADVERTISEMENT
–
Maki (60) raia wa Serbia na wasaidizi wake wanatarajiwa kuwasili klabuni hapo tayari kwa kuanza kazi.
ADVERTISEMENT