Alichoandika mchezaji nyota Duniani, Cristiano Ronaldo usiku wa kuamkia leo baada ya kupata tuzo ya Quinas De Ouro ya kuwa mfungaji bora wa mwaka 2022 kimataifa ;
–
ADVERTISEMENT
ADVERTISEMENT
“Najivunia kushinda tuzo ya mfungaji bora kimataifa wa nchi ninayoipenda! Asante tena kwa wachezaji wenzangu wote, makocha, familia yangu, marafiki na mashabiki wangu wote walionisaidia kufikia mafanikio haya makubwa! Kwa pamoja tutaendelea kuvunja rekodi zote zinazowezekana! Asante Ureno,”