#HABARI ZA HIVI PUNDE: Kupitia kurasa za mitandao ya kijamii Afisa mtendaji mkuu wa klabu ya Simba Barbara Gonzalez ameujuza umma kuhusu Klabu ya Simba kusitisha mkataba wake na Kocha mkuu wa Klabu hio Zoran Maki hii leo.
ADVERTISEMENT
ADVERTISEMENT