Klabu ya Simba ikiwa bado inaendelea na mazoezi ya kujiaandaa kukabilia na michuano ya soka ya Ligi kuu ya NBC pamoja na Klabu Bingwa Barani Afrika, leo hii Septmba 2022 kikosi cha klabu hio kitaondoka Tanzania bara kwasababu ina ratiba ya kucheza mechi mbili za kirafiki huko Visiwani Zanzibar.
ADVERTISEMENT
ADVERTISEMENT