Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) limewakumbusha Wateja wake wa malipo ya awali (LUKU) kuwa kutakuwa na matengenezo kinga kwenye kanzi data ya mfumo wa LUKU leo Alhamisi Sept 15 kuanzia saa 4 usiku hadi 1 asubuhi. “Nunueni umeme wa ziada au nunua umeme kati ya saa 2 asubuhi – saa 3 usiku kuepuka usumbufu”