ADVERTISEMENT
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv
Wednesday, June 7, 2023
  • Login
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
No Result
View All Result

Tetesi za soka Ulaya Jumatano Septemba 21,2022

Barani Ulaya

ALFRED MTEWELE by ALFRED MTEWELE
Sep 21, 2022
in MICHEZO
0
Tetesi za soka Ulaya Jumatano Septemba 21,2022
0
SHARES
84
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter

RelatedPosts

CHELSEA YAZIDI POTELEA GIZANI, YARUHUSU VICHAPO

CHELSEA YAZIDI POTELEA GIZANI, YARUHUSU VICHAPO

May 26, 2023

ARTETA YUKO TAYARI KUMRUHUSU KIUNGO SMITH ROWE KUONDOKA EMIRATES

May 25, 2023

MAN ‘U’ IKO TAYARI KUINASA SAINI YA MASON MOUNT

May 25, 2023
Load More
ADVERTISEMENT
ADVERTISEMENT

Video: Mauricio Pochettino Discusses PSG's Victory Over RB Leipzig

Nice wanatumai wanaweza kumshawishi kocha wa zamani wa Paris St-Germain na Tottenham Mauricio Pochettino kuchukua nafasi ya Lucien Favre kama meneja wa klabu hiyo ya Ligue 1. (ESPN)

Kiungo wa kati wa Ubelgiji Youri Tielemans, 25, anasema hajutii kusalia Leicester City msimu huu wa joto licha ya kuhusishwa na uhamisho wa kujiunga na Arsenal. (Sky Sports)

Winga wa Chelsea na Marekani Christian Pulisic, 24, amesema “amefadhaishwa” na uamuzi wa meneja wa zamani Thomas Tuchel kutomuanzisha katika mchezo wa mkondo wa pili wa nusu fainali ya Ligi ya Mabingwa dhidi ya Real Madrid mnamo 2021.. (ESPN)

Kiungo wa kati wa Everton na Brazil Allan, 31, ameanzisha mazungumzo ya kujiunga na klabu ya Falme za Kiarabu ya Al-Wahda katika wiki mbili zijazo. (Football Insider)

.

CHANZO CHA PICHA,GETTY IMAGES

Maelezo ya picha,Tchouameni

Mmiliki wa Chelsea na mkurugenzi wa muda wa michezo Todd Boehly  ameshindwa kuelewa ni kwanini utawala uliopita haukumsajili Aurelien Tchouameni kabla ya kiungo huyo kujiunga na Real Madrid. (Sport – in Spanish)

Mshambuliaji wa AC Milan na Ureno Rafael Leao, 23, anataka kusaini kandarasi mpya na timu hiyo ya Serie A licha ya kuwavutia Chelsea. (La Gazzetta Dello Sport, via Teamtalk)

Beki wa Manchester United Lisandro Martinez, 24, na beki wa kati wa Tottenham Cristian Romero, 24, wote wameachwa kwenye kikosi cha Argentina kabla ya mechi mbili za kirafiki kutokana na masuala ya visa. (Mirror)

Kiungo wa kati wa zamani wa Manchester City na Ivory Coast Yaya Toure anawasaidia vijana wa chini ya miaka 21 wa Uingereza kujiandaa kwa mechi dhidi ya Italia na Ujerumani anapojaribu kukamilisha beji zake za kuwa kocha. (Mail)

.

CHANZO CHA PICHA,GETTY IMAGES

Maelezo ya picha,Yaya Toure

Huko Leeds United, Muingereza Jamie Shackleton anatarajiwa kuondoka Elland Road msimu ujao, huku Millwall akiwa na chaguo la kumnunua mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 22 wakati mkopo wake na klabu hiyo utakapoisha. (Athletic – subscription required)

Bodi ya wakurugenzi ya Juventus itafanya mkutano siku ya Ijumaa kujadili mustakabali wa meneja Massimiliano Allegri, huku miamba hao wa Serie A wakijikuta katika nafasi ya nane kwenye jedwali kwa kushinda mara mbili pekee kati ya mechi saba.. (Calciomercato – in Italian)

Chelsea wanamlenga mtendaji mkuu wa RB Leipzig Oliver Mintzlaff kuchukua nafasi ya mkurugenzi wa ufundi Stamford Bridge. (Athletic – subscription required)

Tottenham wako kwenye mazungumzo ya kina na mtaalam wa kuajiri Jeff Vetere ili kuongoza usajili wao wa wachezaji wasizodi umri wa miaka 21. (Football Insider)

.

CHANZO CHA PICHA,GETTY IMAGES

Maelezo ya picha,Allegri

Related

Tags: LIGI KUU ZA BARANI ULAYA
ADVERTISEMENT
ALFRED MTEWELE

ALFRED MTEWELE

Related Posts

BENZEMA AJIUNGA NA AL-ITTIHAD
MICHEZO

BENZEMA AJIUNGA NA AL-ITTIHAD

by ALFRED MTEWELE
Jun 7, 2023
KIKOSI KAZI MTEGONI/MEMBE AFUNGUKA/ACT YATEMA CHECHE/PABLO APATA KIGUGUMIZI……….MAGAZETINI LEO JUMATATU TAREHE 30 MEI 2022
HABARI

KURASA ZA MAGAZETI LEO JUMATANO TAREHE 7 JUNI 2023

by I am Krantz
Jun 7, 2023
KIKOSI KAZI MTEGONI/MEMBE AFUNGUKA/ACT YATEMA CHECHE/PABLO APATA KIGUGUMIZI……….MAGAZETINI LEO JUMATATU TAREHE 30 MEI 2022
BIASHARA

KURASA ZA MAGAZETINI LEO JUMANNE TAREHE 06 JUNI 2023

by I am Krantz
Jun 6, 2023
SIMBA SC IMEWAHI KUCHEZA FAINALI CAF 1993
MICHEZO

SIMBA SC IMEWAHI KUCHEZA FAINALI CAF 1993

by ALFRED MTEWELE
Jun 5, 2023
DIAMOND AWEKA KUFURU HII KWA DJIGUI DIARRA
MICHEZO

DIAMOND AWEKA KUFURU HII KWA DJIGUI DIARRA

by ALFRED MTEWELE
Jun 5, 2023
KUNANI MAGAZETINI LEO JUMANNE TAREHE 22 JUNI
HABARI

KURASA ZA MAGAZETINI LEO JUMATATU TAREHE 05 JUNI 2023

by I am Krantz
Jun 5, 2023

KRANTZ MWANTEPELE (FOUNDER & CEO)

KONCEPT TV

https://www.youtube.com/watch?v=0HP0mB_rtIU&t=7s
KONCEPT TV

KONCEPT TWEETS

ADVERTISEMENT
September 2022
M T W T F S S
 1234
567891011
12131415161718
19202122232425
2627282930  
« Aug   Oct »
Currently Playing
  • About
  • Advertise
  • Privacy & Policy
  • Contact

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

Welcome Back!

Login to your account below

Forgotten Password?

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In