ADVERTISEMENT
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv
Tuesday, September 26, 2023
  • Login
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
No Result
View All Result

Tetesi za Soka Ulaya Jumatano Septemba 28,2022

Barani Ulaya

MTEWELE ALFRED by MTEWELE ALFRED
Sep 28, 2022
in MICHEZO
0
Tetesi za Soka Ulaya Jumatano Septemba 28,2022
0
SHARES
126
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter

RelatedPosts

MESSI AFUNGUKA SABABU ZA KUIPOTEZEA BARCA

MESSI AFUNGUKA SABABU ZA KUIPOTEZEA BARCA

Jun 8, 2023

CHELSEA YAZIDI POTELEA GIZANI, YARUHUSU VICHAPO

May 26, 2023

ARTETA YUKO TAYARI KUMRUHUSU KIUNGO SMITH ROWE KUONDOKA EMIRATES

May 25, 2023
Load More

Antonio Conte reveals plans to rest Harry Kane

Mshambuliaji wa Uingereza Harry Kane, 29, anasalia kuwa mlengwa namba moja wa Bayern Munich, huku miamba hao wa Ujerumani wakitarajiwa kujadiliana tena uamuzi wa Tottenham. (Kicker, via Sun)

Newcastle United wako tayari kutuma ofa ya tatu kwa kiungo wa kati wa Leicester City na Muingereza James Maddison, 25, baada ya ofa za £40m na ​​£45m kukataliwa. (Times – subscription required)

.

CHANZO CHA PICHA,GETTY IMAGES

Maelezo ya picha,Jude Bellingham

Kiungo wa kati wa Uingereza Jude Bellingham, 19, anafaa kujiunga na Manchester United atakapoondoka Borussia Dortmund, kulingana na mlinda mlango wa zamani wa Old Trafford Ben Foster. (Metro)

Liverpool, ambao pia wamehusishwa na Bellingham, wameanza kulenga viungo wa kati mbadala na wanamfuatilia mchezaji wa Benfica wa Argentina Enzo Fernandez, 21. (Fichajes, via Teamtalk)

Chelsea haitapunguza bei wanayohitaji ya pauni milioni 31 kwa winga wa Marekani Christian Pulisic huku Juventus wakionyesha nia ya kumsajili mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 24. (Calciomercato, via Express)

.

CHANZO CHA PICHA,REUTERS

Maelezo ya picha,Cristiano Ronaldo alijiunga tena na Manchester United kabla ya msimu uliopita.

Klabu ya Saudi Arabia Al Hilal imedai mshambuliaji wa Manchester United Mreno Cristiano Ronaldo, 37, alikuwa na nia ya kujiunga nao msimu huu. (Mirror)

Mchezaji wa Eintracht Frankfurt Mdenmark Jesper Lindstrom, 22, amejibu ripoti zinazomhusisha na kuhamia Arsenal, akisema ni ‘’vilabu vikubwa kama wao vinanitazama’’. (Tipsbladet via Express)

Leeds wanatarajiwa kuanza mazungumzo ya mkataba na winga wa Uingereza Jack Harrison, ambaye aliripotiwa kuwasilisha ombi la pauni milioni 20 kutoka Newcastle. Mkataba wa sasa wa kiungo huyo wa kati mwenye umri wa miaka 25 utakamilika msimu wa 2024. (Football Insider)

.

CHANZO CHA PICHA,GETTY IMAGES

Maelezo ya picha,Akiwa mchezaji Pochettino aliichezea PSG mara 95 kabla ya kuchukua nafasi ya kuinoa Januari mwaka jana

Kocha mkuu wa zamani wa Tottenham na Paris St-Germain Mauricio Pochettino, ambaye amekuwa akihusishwa na kazi ya meneja wa England, alikuwa Wembley kutazama mechi yao na Ujerumani waliotoka sare ya 3-3. (Telegraph – subscription required)

Chelsea imemfuta kazi Thierry Laurent, akiwa wa nne wa timu hiyo kuondoka Stamford Bridge katika wiki moja iliyopita. (Mail)

Newcastle wanamfuatilia kiungo wa kati wa Brazil Andrey Santos, 18, anayechezea Vasco da Gama. (Fabrizio Romano)

Related

Tags: LIGI KUU ZA BARANI ULAYA
MTEWELE ALFRED

MTEWELE ALFRED

Related Posts

Maurel and Prom: Empowering Tanzania’s Sustainable Energy Economy
BIASHARA

Maurel and Prom: Empowering Tanzania’s Sustainable Energy Economy

by I am Krantz
Sep 22, 2023
ONANA ASEMA ‘HUU NI MOJA YA MCHEZO MBAYA ZAIDI AMBAYO NIMECHEZA’
HABARI

ONANA ASEMA ‘HUU NI MOJA YA MCHEZO MBAYA ZAIDI AMBAYO NIMECHEZA’

by SUZO SHUKRANI
Sep 21, 2023
ERIK TEN HAG HAJAWAHI KUWA NA KIKOSI BORA CHA MANCHESTER UNITED TANGU AWE MENEJA
HABARI

ERIK TEN HAG HAJAWAHI KUWA NA KIKOSI BORA CHA MANCHESTER UNITED TANGU AWE MENEJA

by SUZO SHUKRANI
Sep 20, 2023
MASHABIKI WA NAMUNGO FC WAPATA AJALI, WANNE WAFARIKI NA 16 MAJERUHI
HABARI

MASHABIKI WA NAMUNGO FC WAPATA AJALI, WANNE WAFARIKI NA 16 MAJERUHI

by SUZO SHUKRANI
Sep 20, 2023
TWIGA STARS YAWASILI IVORY COAST KUWAVAA WENYEJI HAO IJUMAA
HABARI

TWIGA STARS YAWASILI IVORY COAST KUWAVAA WENYEJI HAO IJUMAA

by SUZO SHUKRANI
Sep 20, 2023
FGP FC YACHUKUWA HATUA SAKALA LA MIMBA KWA MCHZEZAJI WAO
HABARI

FGP FC YACHUKUWA HATUA SAKALA LA MIMBA KWA MCHZEZAJI WAO

by SUZO SHUKRANI
Sep 19, 2023

KRANTZ MWANTEPELE (FOUNDER & CEO)

KONCEPT TV

https://www.youtube.com/watch?v=0HP0mB_rtIU&t=7s
KONCEPT TV

KONCEPT TWEETS

September 2022
M T W T F S S
 1234
567891011
12131415161718
19202122232425
2627282930  
« Aug   Oct »
Currently Playing
  • About
  • Advertise
  • Privacy & Policy
  • Contact

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

Welcome Back!

Login to your account below

Forgotten Password?

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In