Benki ya CRDB imefanya hafla ya uzinduzi wa Kampeni yake ya Tisha na TemboCard kanda ya kusini, mkoani Mtwara Tanzania iliongozwa na Kaimu Meneja wa Kanda ya Kusini Bw. Leavan Spanish Maro, ikihudhuriwa na wateja pamoja na wafanyakazi mbalimbali wa benki hio.
Pia kupitia hafla hio inasisitiza kukamilisha malipo kwa urahisi na haraka kupitia TemboCard Visa
, ili mteja ajiongezee nafasi ya kujishindia safari
iliyolipiwa kila kitu kwenda kushuhudia fainali za kombe la dunia Qatar 






