Benki ya NMB yaonyesha kits zitakazovaliwa na Washiriki wa NMB Marathon siku ya Octoba,1 mwaka huu katika viwanja vya Leaders club ili kuweza changia matibabu ya Fistula kwa wanwake katika kituo cha CCBRT.
NMB Bank Plc “Uzi wa Mwendo wa Upendo upo tayari, sasa kazi ni kwako!!
Tumebaki na siku 10 tu kuelekea NMB Marathon. Jisajili kupitia marathon.nmbbank.co.tz au fika katika vituo vyetu;


