ADVERTISEMENT
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv
Monday, February 6, 2023
  • Login
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
No Result
View All Result
ADVERTISEMENT

WAZIRI BASHUNGWA ” WAKUU WA MIKOA JIANDAENI KWA OPARESHENI YA UJENZI WA MADARASA MAPYA 8,000″

Arusha, Tanzania

ALFRED MTEWELE by ALFRED MTEWELE
Sep 26, 2022
in HABARI
0
WAZIRI BASHUNGWA ” WAKUU WA MIKOA JIANDAENI KWA OPARESHENI YA UJENZI WA MADARASA MAPYA 8,000″
0
SHARES
108
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter
ADVERTISEMENT

RelatedPosts

Dkt. Jafo: “Huenda zaidi ya Sh. Trilioni 1 Zikapatikana kwa Mwaka Kutokana na Biashara ya Kaboni”

Dkt. Jafo: “Huenda zaidi ya Sh. Trilioni 1 Zikapatikana kwa Mwaka Kutokana na Biashara ya Kaboni”

Feb 3, 2023

Bilioni 213 za Miradi ya DMDP Zaistawisha Temeke

Feb 2, 2023

DKT. DUGANGE-95% YA ZABUNI ZA TARURA KAZI INAENDELEA

Jan 24, 2023
Load More

May be an image of 2 people

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Mhe. Innocent Bashungwa amewaagiza Wakuu wa Mikoa Nchi nzima kuanza maandalizi ya oparesheni ya ujenzi wa Mdarasa Mpya 8,000 kwa ajili ya wanafunzi wanaomaliza darasa la saba na kujiunga na Kidato cha kwanza mwakani 2023.
Bashungwa ameyasema hayo jumamosi Septemba 24, 2022 jijini Arusha wakati akitoa taarifa kwa umma na vyombo vya habari kuhusu utekelezaji wa miradi ya maendeleo ya Elimu nchini.
Amesema Muda wowote kuanzia sasa kabla ya mwezi huu kuisha pochi la Mama Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan litafunguka kuwezesha oparesheni ya ujenzi wa mdarasa mapya 8,000 nchi nzima.
Bashungwa amesema oparesheni ya ujenzi wa mdarasa hayo itatumia mfumo uliotumika katika ujenzi wa madarasa 15,000 kwa kuunda kamati Maalum za ujenzi.
ADVERTISEMENT
ADVERTISEMENT

Related

Tags: OFISI YA RAIS TAMISEMI
ADVERTISEMENT
ALFRED MTEWELE

ALFRED MTEWELE

Related Posts

DIAMOND KANILIPA MILIONI 17 VIDEO YA ZUWENA
HABARI

DIAMOND KANILIPA MILIONI 17 VIDEO YA ZUWENA

by Shabani Rapwi
Feb 5, 2023
VIJANA ACHENI KU-BET FANYENI KAZI – CHONGOLO
HABARI

VIJANA ACHENI KU-BET FANYENI KAZI – CHONGOLO

by Shabani Rapwi
Feb 5, 2023
RAIS WA ZAMANI WA PAKISTAN AFARIKI DUNIA
HABARI

RAIS WA ZAMANI WA PAKISTAN AFARIKI DUNIA

by Shabani Rapwi
Feb 5, 2023
IDADI YA WALIOFARIKI AJALI YA TANGA YAONGEZEKA HADI 20
HABARI

IDADI YA WALIOFARIKI AJALI YA TANGA YAONGEZEKA HADI 20

by Shabani Rapwi
Feb 5, 2023
MANGE KIMAMBI AMCHANA  HAJI MANARA ‘WE NI MTU MZIMA’
HABARI

MANGE KIMAMBI AMCHANA HAJI MANARA ‘WE NI MTU MZIMA’

by Shabani Rapwi
Feb 5, 2023
NAJUA UCHUNGU WA MTOTO SIWEZI – WOLPER
HABARI

NAJUA UCHUNGU WA MTOTO SIWEZI – WOLPER

by Shabani Rapwi
Feb 5, 2023

KRANTZ MWANTEPELE (FOUNDER & CEO)

KONCEPT TV

https://www.youtube.com/watch?v=0HP0mB_rtIU&t=7s
KONCEPT TV

KONCEPT TWEETS

ADVERTISEMENT
September 2022
M T W T F S S
 1234
567891011
12131415161718
19202122232425
2627282930  
« Aug   Oct »
Currently Playing
  • About
  • Advertise
  • Privacy & Policy
  • Contact

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

Welcome Back!

Login to your account below

Forgotten Password?

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In