
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Mhe. Nape Nnauye akiwa ndiye mgeni rasmi Septemba 16, 2022 amefungua Warsha ya Kuhamasisha Uandaaji, na Uzalishaji wa Maudhui ya Ndani iliyoandaliwa na Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA).
Warsha imewaleta pamoja wadau wote wa maudhui ya ndani kujadili mustakbali na maboresho ya maudhui yanayoandaliwa na kuzalishwa nchini.



ADVERTISEMENT